Shairi: Heshimu Kiongozi
HeshimuKiongoziWaraiawenzangu,Viongozinimiungiduniani,Ingawaniwanadamu,MungukatupaViongozi,Njiakutuonyesha, Kiongozinimungu.Upinganajikiongozi,Ni kumpingaMungumbiguni,Kiongozinibanadamukiumbe,Makosahufanyaokamamume,Naombeniwaraia,KweliKiongoziaheshimiwe.Amanimzuriamambaya,Mfupi au Mrefukamatwiga,Heshimuviongozi,Bilakupuuzaukabila, Kiongozinimunguulimwenguni.Ewe vijanawenzangu,Sikizeniwazaazinawazee,Hilifikiria,Uwenimtugani?Mpeheshimakiongozi,AsemapokwaRuninga,Sikizeniwaraiawenzangu.By Leonard Akida https://theparrots08.blogspot.com