HeshimuKiongozi
Waraiawenzangu,
Viongozinimiungiduniani,
Ingawaniwanadamu,
MungukatupaViongozi,
Njiakutuonyesha,
Kiongozinimungu.
Upinganajikiongozi,
Ni kumpingaMungumbiguni,
Kiongozinibanadamukiumbe,
Makosahufanyaokamamume,
Naombeniwaraia,
KweliKiongoziaheshimiwe.
Amanimzuriamambaya,
Mfupi au Mrefukamatwiga,
Heshimuviongozi,
Bilakupuuzaukabila,
Kiongozinimunguulimwenguni.
Ewe vijanawenzangu,
Sikizeniwazaazinawazee,
Hilifikiria,
Uwenimtugani?
Mpeheshimakiongozi,
AsemapokwaRuninga,
Sikizeniwaraiawenzangu.
By Leonard Akida https://theparrots08.blogspot.com